Wakuu!
Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara?
Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni...