PreGE2025 Mbunge Francis Mtinga ataka wananchi wakatwe asilimia 10 ya kila vocha anayonunua kusaidia kwenye mfuko wa bima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakuu!

Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara?

Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni sawa na shilingi 100 ili ikasaidie kwenye mfuko wa bima kwa wato wasio na uwezo ili kila Mtanzania apate bima ya Taifa.

Amesema kutokana na Tanzania kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi amesema hiyo ni fursa kwa Watanzania ambao hawana bima ya afya.

Soma Pia: Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

“Mimi napenda tukitumie chanzo hiki Watanzania mnielewe, tuchukulie kila Mtanzania anaponunua vocha ya Sh1,000 kwa siku atuchangie asilimia 10 tu ambayo ni Sh100 ambapo ukizidisha na laini zilizo hai milioni 90.4 nitapata kwa siku Sh9.4 bilioni nikipeleka kwa mwezi nitapata Sh271.2 bilioni na nikipeleka kwa mwaka nitapata S3.2 trilioni, zitakwenda kusaidia kwenye bima hiyo hata kwa wasiokuwa na uwezo

Du!...Cjui huyu anafikiria kutumia nini
 
Wakatwe tu lakini zikikatwa Simba na Yanga maandamano ya makubwa sana hadi ikulu.
 
Asee kama Taifa lina safari ndefu sana mtu kama huyu sijui anawaza nini? 🤔
 
Huyu mbunge ANAPAKATWA nini, ndio shida ya kupitisha mijitu misenge misenge kama hii..
Wao kazi yao kutunyonya tu, vya maana havifanyiki, kuna wapumbavu wanajiona nchi hii waliumbiwa wao tu, watanzania wavuje jasho, wao waendele kutanua tu.

Chooni wakienda wao watoe mavii, sisi tutoe UPEPO tu 🤬🤬
 
Wakuu!

Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara?

Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni sawa na shilingi 100 ili ikasaidie kwenye mfuko wa bima kwa wato wasio na uwezo ili kila Mtanzania apate bima ya Taifa.

Amesema kutokana na Tanzania kuwa na idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi amesema hiyo ni fursa kwa Watanzania ambao hawana bima ya afya.

Soma Pia: Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

“Mimi napenda tukitumie chanzo hiki Watanzania mnielewe, tuchukulie kila Mtanzania anaponunua vocha ya Sh1,000 kwa siku atuchangie asilimia 10 tu ambayo ni Sh100 ambapo ukizidisha na laini zilizo hai milioni 90.4 nitapata kwa siku Sh9.4 bilioni nikipeleka kwa mwezi nitapata Sh271.2 bilioni na nikipeleka kwa mwaka nitapata S3.2 trilioni, zitakwenda kusaidia kwenye bima hiyo hata kwa wasiokuwa na uwezo

Je kwa wale ambao hawana simu
 
ndo maana walitakiwa wapimwe ushoga hawa
 
Huyo mbunge ana samadi kwenye kichwa badala ya ubongo,juzi tu taarifa ya CAG inaeleza kwamba tozo za kwenye mitandao ya simu hazijaenda kwenye shughuli zilizokusudiwa na hawajui zilizo,halafu huyu mwehu anakuja kuleta kitu kile kile
 
Back
Top Bottom