Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika baadhi ya makundi ya mitandao ya kijamii
Mjadala huo umeibuka katika baadhi ya makundi ya WhatsApp...
Wakuu, tunaenda kwenye uchaguzi (kama utafanyika) hivyo ni muhimu kupima hawa wabunge tuliokuwa nao, hasa kama watakuja tena kuomba ridhaa ya kugombea kwenye majimbo hayo.
Huyo mbunge wako huko jimboni kwa kuangalia toka mlipomchagua mpaka mwaka jana 2024 amefika jimboni mara ngapi na kukutana...