mbunge oliver semuguruka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka auliza lini Serikali itajenga Stendi ya kisasa, Ngara Mjini

    Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Kagera, Mh Oliver Semuguruka ametaka kujua lini serikali itajenga stendi ya Kisasa, Ngara Mjini. Oliver amehoji hayo leo tarehe 12 Juni, 2025 bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa wizara ofisi ya Rais TAMISEMI. Akijibu swali hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka Aguswa na Malezi Duni kwa Watoto, Kagera

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wanawake Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka maarufu "Twiga" amewataka wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuwalea katika maadili ya Kitanzania ili wawe raia wema. Mhe. Oliver Semuguruka Ameyasema hayo wakati akihitimisha ziara yake mkoani Kagera ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…