Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Kagera, Mh Oliver Semuguruka ametaka kujua lini serikali itajenga stendi ya Kisasa, Ngara Mjini.
Oliver amehoji hayo leo tarehe 12 Juni, 2025 bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa wizara ofisi ya Rais TAMISEMI.
Akijibu swali hilo, naibu waziri wa TAMISEMI, Mh Dkt. Festo Dungange ameeleza serikali kutambua ombi la Halmashauri ya Ngara kutaka kujengewa stendi hiyo ya Kisasa.
Aidha ameeleza kwa sasa serikali inatekeleza kwanza ombi la kujengewa barabara huku ikiendelea na hatua za kutenga fedha za ndani ya Halmashauri pamoja na serikali kuu ili kutekeleza ombi hilo la stendi.