mbunge wa moshi mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Diwani wa Uru Kusini ananilazimisha kugawa eneo langu katikati na kutoa njia ilihali hakuna nyaraka inaonesha eneo hilo kuna njia

    Kero yangu ni kwa Diwani wa Kata ya Uru Kusini ambaye amekuwa akifanya maamuzi juu ya ardhi, ilhali natambua Diwani hana mamlaka ya moja kwa moja kiutendaji, kiufundi au kukamilisha ardhi kwa mtu binafsi. Kiongozi huyu amekuwa akiwanyima uhuru viongozi wa chini, kuanzia ngazi ya Kitongoji na...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Je, Magari yanayotolewa na mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo, Kuwahudumia Wananchi Moshi Mjini ni Mali ya Serikali au Bado ni Mali yake Binafsi?

    Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali. Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Moshi Mjini apata ajali kwenye msafara wa Waziri mkuu

    Mbunge wa Moshi mjini (CCM), Ibrahim Shayo maarufu Ibraline amepata ajali wilayani Same, baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka katika eneo la Kirinjiko wilayani humo kwenye msafara wa Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba. Ajali hiyo imetokea leo Februari 18, 2026 eneo la Kirinjiko wakati...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Same: Mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo(CCM) anusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali katika msafara wa Waziri Mkuu

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini, John Mwanga afariki dunia usiku wa kuamkia leo

    Wakuu, Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025. Mwanga, ambaye aliweka historia kuwa mbunge wa kwanza wa Moshi Mjini baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini, amefariki dunia...
Back
Top Bottom