mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

    kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini, ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025? afanye nini, aamue nini, na...
  2. L

    Luaga Mpina, mbunge wa Kisesa sifa za kijinga na kutafuta cheap popularity zimekuponza

    Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo. Umepewa nondo feki na wafanyabiashara...
  3. R

    HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  4. R

    Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  5. Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana

    Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana. Sidhani kama mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi.
  6. TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June 13, 2024 kabla ya kuanza kwa kikao cha 46 cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 Bungeni Jijini Dodoma...
  7. K

    Wananchi wakaidi agizo la mbunge kubomoa Nyumba zao Sengerema

    Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari. Hii ni kutokana na ukweli kuwa,kuna upanuzi wa barabara inayoendelezwa na (TANROADS)ambayo ilikuwa chini ya TARURA...
  8. Mbunge Rose Tweve Asema Hajaridhishwa na Majibu ya Serikali

    📌 AHOJI UTEKELEZWAJI WA AAGIZO LA WAZIRI MKUU 📌 ATAKA KUJUA HALI YA KIUTENDAJI KWENYE HALMASHAURI ILIVYO MBUNGE wa Viti maalum Mkoani Iringa Mhe. Rose Tweve ametaka kujua kiundani juu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa aliliolitowa mapema tarehe 22 Mei...
  9. Mbunge Aysharose Awapa Faraja Wanafunzi wa Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya, Manyoni

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe ametembelea Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya na kuzungumza na Wanafunzi wa kike shuleni hapo na kuwapa zawadi ya taulo za kike na vifaa vya michezo Mbunge Aysharose Mattembe amewatia moyo Wanafunzi wa kike wanaosoma katika...
  10. Mbunge Wanu Hafidh Ameir apokea Certificate of Recognition ya kuhamasisha Utunzaji Bora wa Mazingira

    Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) Amepokea Cheti Maalum cha kutambua mchango wake wa kuhamasisha Utunzaji wa Mazingira katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024. Wanu Hafidh Ameir amepokea Cheti hicho...
  11. Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu". Mwamba ameongea ukweli hapa! WATU MPAKA WAFE NDIO...
  12. Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  13. Mbunge Martha: Tembo wamesababisha taharuki kwa Wananchi wa Manyoni na Ikungi

    Mbunge wa Viti Maalum, Martha Nehemia Gwau amesema Serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na Tembpo ambao wamekuwa wakiharibu mazao na kutishia usalama wa Wananchi
  14. Mbunge Edwar Lekaita aweka msisitizo maliasili na utalii kufanya kazi kwa karibu na WMA

    MBUNGE EDWAR LEKAITA Aweka Msisitizo Maliasili na Utalii Kufanya Kazi kwa Karibu na WMA Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka mpya wq fedha 2024/2025 amesema WMA inasaidia wananchi...
  15. Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  16. Mbunge Saashisha Mafuwe aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo

    MBUNGE SAASHISHA MAFUWE Aishauri Wizara ya Ujenzi Iwe na Mkakati wa Kudhibiti Barabara Zijengwe kwa Kiwango Kinachostahili Ili Kupunguza Matengenezo ya Mara kwa Mara "Jumapili ya tarehe 26 Mei, 2024 nilikuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Weruweru na wananchi wakaniambia Mhe. Mbunge kwa...
  17. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  18. Mkuu wa Wilaya Arusha: Migogoro baina ya Baraza, menejimenti na mbunge inadhoofisha utoaji huduma au miradi ya maendeleo kwa wananchi

    Mkuu wa Mkoa, Tuna changamoto kadha wa kadha cha kwanza, miradi ya maendeleo kutokamilika kwa wakati, Mkuu wa Mkoa kumekuwa na mabishano mengi sana kati ya Baraza, Mbunge na menejimenti, Kiasi cha kwamba haya yote yanadhoofisha utoaji wa huduma au miradi ya maendeleo kwa wananchi. Na jambo...
  19. Mbunge Nicodemas Maganga amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe "Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari yanakata Chesesi kwasababu ya ubovu wa Barabara. Bajeti ya Trilioni 1.7 ni ndogo sana, Waziri wa...
  20. Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…