It is unbelievable ngoma imechezeshwa na TRA na POLISI kuokoa jina la Mbunge Koka anaefanya biashara ya binadamu ambae yuko Chama Tawala.
Haya mambo CCM inayakumbatia sana kwa kufikiri wananchi hatuyajui na hatujui wahusika. Funny enough mpaka chombo chetu cha kodi nacho kinashiriki sasa...
Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020.
Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
Habari wadau.Napenda kumpa taarifa mbunge wa NYAMAGANA bwana mabula kuwa ukiondoa matatizo mengi yaliyopo wilaya ya hii ambayo ni kitovu cha uchumi wa mkoa kama ukosefu wa huduma ya maji na barabara mbovu kuna aibu ambayo naomba yeye binafsi aifuatilie.Hii aibuu ya watoto kwenda na magunia...
1. Ngorongoro kuna mbunge?
2. Ni nani (jina), anatoka Chama gani?
3. Ameona madhila ya Wana-Ngorongoro? Anapata usingizi kweli?
4. Uchaguzi 2025 atagombea tena ubunge?
Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti, akijaribu kutafuta njia yake. Ingawa alikabiliwa na vikwazo, alijitahidi na hatimaye alifanikiwa kupata...
Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu
Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza
Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake.
Kutano la kwanza lilipuuzwa.
Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi.
Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa kutoa Shilingi Laki Tano (500,000) kwa kila Kata ya Mkoa wa Arusha kwaajili ya...
🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya mahitaji yao pamoja na kukabidhi Simenti mifuko 100 alizoahidi ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi za...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI SHINYANGA VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava amegawa vifaa vya michezo kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kaselya iliyopo katika Kijiji cha Igegu Kata ya Mwamala Wilaya ya...
Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka.
Yaani...
#OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena
----
MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI.
Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya Nguvumali kwa ajili ya kueleza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha 2020 - 2025...
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....
Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana...
Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya Singida DC.
Akizungumza katika Baraza hilo, Mhe. Aysharose Mattembe alisisitiza mambo yafuatayo ikiwemo...
MBUNGE WAMBURA CHEGE: "SITARUDI NYUMA, NIMECHAGULIWA NA WANANCHI LAZIMA KUWATUMIKIA"
"Tumezaliwa tunazungumzia changamoto za Madaraja, Maji na maeneo mengine. Nimeamua kujikita kwenye shughuli za Maendeleo lakini kuna watu wanapita kutafuta namna ya kutugawa. Naomba tushirikiane tushikamane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.