NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM.
Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha tunatafuta kura ili kukipa ushindi chama cha Mapinduzi CCM
“Wajibu wetu ni kuwakumbusha tu...
MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE.
Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
MBUNGE VUMA HOLLE AENDELEA KUZISAKA KURA KWENYE MVUA
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Augustine Vuma Holle ameendelea na Kampeni za kuwaombea kura wagombea wanaotokana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024 wakati Mvua ikiendelea...
MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI
▪️Achangia saruji tani 10
▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti
▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi
📍Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe.
Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo ya serikali,
Kanyasu alienenda Mbali zaidi kwa kuongeza kuwa utoaji wa mikopo umekuwa na ukilitimba...
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi...
Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma.
Tukio hilo limefanyika...
Wananchi na wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Jijini Dodoma, wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde kwa ufadhili wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo ili kuboresha mazingira rafiki ya wanafunzi kusomea tofauti na awali ambapo muingiliano ulikuwa...
Wadau huko Bungeni kuna mapendekezo ya Wasanii wapewe Service Passports
Mbunge wa Viti Maalum, Tauhida Nyimbo amependekeza Wasanii wa Tanzania ambao hawana skendo na wanaiwakilisha nchini kimataifa wapewe "Pasipoti za Huduma", ambayo hupatiwa Mkuu wa Mkoa, Msajili wa Mahakama ya Rufaa au...
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali.
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara).
Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu.
Thorpe alisindikizwa nje na Walinzi baada ya kupiga kelele akisema hamtambui Mfalme huyo kama Mfalme wake na kwamba...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU
Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.