Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi
Mbunge wa Ushetu (CCM), Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Nishati kutoa ruzuku ya gesi kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini, ili kusaidia utuzwaji wa mazingira na kuthibiti ukatwaji wa miti pamoja na kupunguza gharama za...
Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu.
Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC).
Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki.
Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini.
Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amechangia Bungeni Jijini Dodoma, leo April 4,2024 ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuzungumza na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kutekeleza majukumu...
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N.
Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI
Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na utulivu kuhakikisha chaguzi zote mbili; Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu...
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 148 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Geneva...
MBUNGE NDAISABA AFUNGUKA MAZITO: MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA ILIVYOIBADILISHA NGARA
"Niwaombe wananchi wa Mumilamila kwa Umoja wenu endeleeni kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, endeleeni kumuunga mkono Mbunge Ndaisaba George Ruhoro. Hakika mengi tumeyafanya. Maendeleo ni hatua, hatua...
Salaam, Shalom!!
Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni?
Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi.
Mbunge anayeona...
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi.
Kwa wale ambao bundle sio...
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio...
1: Hadhi ya nafasi ya ubunge ?
2: Ugumu wa kazi Ya ubunge?
3: Ndani ya mshahara huo ina inlude na transport na accomodatuon costs za kwenda jimboni na kurudi mjengoni?
4:????
Karibuni.
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa.
Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Viongozi ngazi za Kata na Vijiji wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea na kuwalinda Wananchi dhidi ya vitendo vya uonevu vinavyofanywa na baadhi ya Watumishi wa serikali ikiwemo askari kukamata wananchi hao kiholela na kwabambikizia kesi.
Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani...
MBUNGE NDAISABA AVUNJA NGOME ZA CHADEMA NGARA, WAPIGWA MLALO WA MENDE
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro katika ziara yake ya kikazi Jimboni wakati akizungumza na wananchi ameendesha Kampeni na zoezi la kuwapokea na kuwakaribisha mamia ya wanachama wa CHADEMA...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani.
Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria .
Ofisi ya Katiba na Sheria ndipo walipo majaji na DPP, huyu alikuwa bosi wa watu wa judicial na DPP. Je...
Hakuna shaka kwamba makada wa chama cha mapinduzi(ccm)Katika maeneo mbali ya nchi wameanza mikakati ya chini kwa chini ya kujijenga kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani.
Baadhi yao wameunda makundi ya kuwasaidia kuendesha harakati hizi huku baadhi yao walitumia mbinu chafu za kuwachafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.