Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa.
Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali...