mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni kuwawezesha Wananchi kupata taarifa za Mambo mbalimbali...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Masaburi atimiza ahadi yake ya ujenzi wa Zahanati Serengeti

    MHE. JULIANA MASABURI AMALIZA AHADI YAKE YA KUTOA CEMENT KATIKA KITONGOJI CHA NYAMERAMA 🗓️ 14 DECEMBER 2023 📍Serengeti, Mara 📸 picha na Matukio Mbalimbali Ndugu Edmund Atanas Changwe Akikabidhi Cement kwa Viongozi wa Kitongoji cha Nyamerama kwa niaba ya Mh Mbunge Juliana Didas Masaburi...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Hanang, Eng. Hayuma alilia Serikali athari za mafuriko ya Hanang

    MBUNGE WA HANANG, ENG. HAYUMA AILILIA SERIKALI, ATHARI ZA MAFURIKO YA HANANG Mbunge wa Jimbo la Hanang, mkoani Manyara, Eng. Samwel Hayuma ameingukia serikali akiiomba kuwatazama kwa jicho la pili wafanyabiashara ambao wamepoteza mali zao kutokana na mafuriko ya maporomoko ya tope yaliyotokea...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
  6. Roving Journalist

    Mbunge wa Kigamboni aahidi kulifanyia kazi suala la uchafu na uchakavu wa vyoo vya Hospitali ya Vijibweni

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janeth Masaburi Aitaka TARURA Dar Kutatua Kero za Barabara

    MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi kwa kuzikarabati ili kuwawezesha wananchi waweze kufanyaka kazi zao za kuitafuta riziki bila...
  8. M

    Serikali Mbarali tutengenezee kipande hiki cha barabara

    Barabara hii ikitengenezwa itakuwa short cut kufika hospitali ya wilaya iliyopo Inyala. Tutafikisha mazao kwa urahisi sokoni. Mbeya vijijini wametengeneza kipande Chao wewe unashindwa Nini?
  9. L

    Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jimbo la Ulanga: Tatizo la Kompyuta na Photocopy Mashine Nitalimaliza

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo. Mbunge Salim ameyasema hayo wakati akigawa vifaa hivyo ambavyo aliahidi kwa shule tatu zitakazo fanya vizuri...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mahawanga azindua Jukwaa la Wanawake kata ya Ndugumbi na kusisitiza ushirikiano

    MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE KATA YA NDUGUMBI NA KUSISITIZA USHIRIKIANO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Mahawanga Janeth amezindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika Kata ya Ndugumbi Wilaya ya Kinondoni ikiwa ni muendelezo wa kufanya ziara ya kukutana...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Eng. Aisha Ulenge ashauri uanzishwaji wa Programu kuhamasisha Wanafunzi kutumia Maktaba

    Mbunge Eng. Aisha Ulenge Ashauri Uanzishwaji wa Programu Kuhamasisha Wanafunzi Kutumia Maktaba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amefanya ziara ya kutembelea Maktaba ya Mkoa wa Tanga na kushauri kuanzishwa program ya kuhamasisha Wanafunzi na jamii kuitumia Maktaba...
  13. benzemah

    Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  14. Stephano Mgendanyi

    Tabora: Mbunge Jacqueline Kainja katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa Ndg. Jokate Mwegelo

    Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga. Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Geofrrey Mwambe Azindua Zahanati Matawale

    MBUNGE GEOFFREY MWAMBE AZINDUA ZAHANATI MATAWALE • Imegharimu Milioni 200 • Wananchi wampongeza Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini Mheshimiwa Geoffrey Mwambe, leo amezindua zahanati mpya katika kijiji cha Matawale kata ya Matawale. Ujenzi wa zahanati hiyo umegharimu TZS. 200,000,000/= (Milioni...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Lekaita: Mvua ni Fursa Tuzitumie Ipasavyo

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli za kilimo na upandaji mbegu katika shamba la Mzee Salum Kabila na kuwatakia heri wakulima na...
  17. BARD AI

    DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa. Hashimu Ally anadai, Pauline...
  18. sky soldier

    Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Subira Mgalu: UWT chini ya Mwenyekiti Chatanda Hatujaaminiwa Kuja Kuuza Sura, Mradi Huu Uchunguzwe

    MBUNGE SUBIRA MGALU: UWT CHINI YA MWENYEKITI WETU MAMA CHATANDA HATUJAAMINIWA KUJA KUUZA SURA, MRADI HUU UCHUNGUZWE Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mama Mary Chatanda , imeviomba vyombo vya dola kuchunguza Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya...
  20. JanguKamaJangu

    Mbunge wa Ghana aliyemdhihaki Maguire Bungeni aomba radhi

    Mbunge wa Ghana, Isaac Adongo ambaye alifananisha uongozi wa Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Mahamudu Bawumia kuwa umeyumba kama kiwango kibovu kinachooneshwa na beki wa Manchester United, Harry Maguire. Adongo amesema anarekebisha kauli yake kwa kuwa Maguire ameonesha uwezo mkubwa na kuwa...
Back
Top Bottom