mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  2. ChoiceVariable

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  4. DodomaTZ

    Wana Momba wakataa uzushi wa Mbunge wao

    Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu. Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu zetu walioishi miongo na Karne zilizopita nasi twauishi na kuakisi uzoefu wa maisha hayo kwakuwa hakuna...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki, Najma Murtaza na Rose Tweve Waibana Serikali Bungeni Kutoa Elimu kwa Watanzania Wasiojua Kusoma na Kuandika

    MBUNGE MARTHA, NAJMA NA TWEVE WAIBANA SERIKALI BUNGENI KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA "Tuna zaidi ya Watanzania asilimia 16 hawajui kusoma na kuandika. Ni upi mkakati wa Serikali wa kuhakikisha tunatenga bajeti kwenda kuhudumia watanzania ambao wanapata elimu kwenye...
  6. GoldDhahabu

    Mbunge Ally Mohamed Keissy alipokuwa akiitetea Tanganyika

    Tanganyika will never die! Ina watetezi uraiani na kwingineko! Msikie huyu Mbunge alivyochachamaa kuitetea.
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake

    Mbunge Mwantum Zodo Aibana Serikali Kuvisaidia Vikundi vya Uzalishaji Mali vya Ufugaji Vinavyosimamiwa na Wanawake VIKUNDI 102 VYA WAFUGAJI VYANUFAIKA NA MIKOPO NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amesema vikundi 102 vya Wanawake vyenye wanufaika 875...
  8. JanguKamaJangu

    Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

    Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
  9. D

    DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  10. Influenza

    Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  11. Erythrocyte

    Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

    Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa . Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge...
  12. P

    Pre GE2025 Mbunge Abdulhafar: CCM ni wazoefu wa kupokea matokeo ya kushinda na kushindwa, upinzani wafundishwe

    Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo. Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi katika uchaguzi ndio kunaleta kitahalani katika taifa. Kumbe labda tu kwasababu hawana elimu. "Nadhani...
  13. Suley2019

    Pre GE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  14. Mto Songwe

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
  15. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  16. Papaa Mobimba

    Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  18. Stephano Mgendanyi

    Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA "Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki...
  19. Stephano Mgendanyi

    Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mwambe Awakutanisha Viongozi wa Vyama vya Msingi Vilivyo Jimbo la Ndanda

    MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya msingi kutoka Jimbo la Ndanda wameshauri sheria ya ushirika ifanyiwe marekebishi ili kuongeza idadi ya...
Back
Top Bottom