mbwana samatta

Mbwana Ally Samatta (born 23 December 1992) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
Samatta began his career as a youth player for Tanzanian club African Lyon in 2008. He turned professional in 2010 with Simba Sports Club, where he played for only half of the season before moving to TP Mazembe, spending a total of five years with them, initially becoming a first-team regular. He was named the 2015 African based Player of the Year, and finished the season as the top goalscorer of the CAF Champions League as he helped TP Mazembe to win the title.
In January 2016, Samatta signed for Belgian side K.R.C. Genk, helping them to qualify for the UEFA Europa League and win the Belgian Jupiler League in 2019. Having finished the season as the top goalscorer of the Jupiler League he also won the Ebony Shoe award in Belgium for his outstanding season with Genk.
In January 2020, he moved to Premier League club Aston Villa.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Mbwana Samatta kijana mdogo anafanya uwekezaji wa kibabe bila makelele wala show offs

  2. Je, Mbwana Samatta karejeshwa Taifa Stars kwa Shinikizo, Uwoga, Unafiki au kwa sasa Kiwango chake Kimeimarika huko aliko?

    Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
  3. Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye ujuzi kama Benchika au Gamond

    Kupangwa au kutopangwa kwa Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye weledi wa hali ya juu kufundishia timu ta Taifa Stars. Kumbuka timu ya Taifa Stars ndio timu pekee yenye wapenzi wengi wa soka kuliko hata Simba na Yanga hapa Tanzania. sasa kumchagua kocha mzalendo...
  4. Baba yake Mbwana Samatta amuijia juu kocha Morocco kuhusu kumwacha mwanaye kwenye kikosi cha stars

    "Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu, kwa asilimia kubwa wao ndio wamesababisha tufuzu kucheza AFCON zote mbili "Kwenye kombe la dunia...
  5. Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025

    Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024. Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho...
  6. S

    Tetesi: Nahodha aomba Kustaafu, TFF yagomea ombi lake

    Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania. Taarifa inaeleza kuwa TFF imeligomea jambo hilo huku wakihitaji baada ya michezo ya kufuzu fainali za...
  7. Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  8. Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  9. SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

    "SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA" ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA. Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
  10. N

    Mkanganyiko wa tozo na kodi lawama kwa Mobetto, Samatta, Edo Kumwembe

    Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania. Hamisa Mobetto, Mbwana...
  11. Tabasamu la Mbwana Samatta akiwa mazoezini KRC Genk, Agosti 17, 2022

    Mbwana Samatta akiwa katika mazoezi ya timu ya KRC Genk baada ya kurejea kwa mkopo
  12. Mbwana Samatta arejea GENK

    #MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya Uturuki. Samatta aliitumikia Genk katika michezo 191 na kufunga mabao 76 huku akishinda ubingwa wa...
  13. Mbwana Samatta alivyoruka viunzi vya Wadada wa Bongo na Wazungu

    Habari za wakati wakuu, Panda gari popote ulipo za kwenda Mbagala rangi tatu ukifika nenda mpaka round about ya Chamazi kunja kushoto tembea kidogo utaona shule ya msingi mbele kidogo utaona msikiti upande wa kulia kunja kulia utaona nyumba kama kigorofa kidogo hivi hapo utakuwa umefika kwa...
  14. Matarijio ya wengi ni Samatta achangie zaidi kama Ronaldo na Messi

    Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya Ronaldo na Messi ni pamoja na kupachika magoli kwenye mataifa Yao na kuamua matokeo. Tumuombee Samatta...
  15. Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  16. Msuva awe nahodha wa timu ya Taifa Stars

    Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii. Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini...
  17. B

    Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
  18. Gazeti la Nipashe kwanini hamjamtaja Eddo Kumwembe kwamba ni balozi wa Kodi?

    Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji) Eddo Kumwembe na Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa Sasa ni...
  19. Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

    Hata ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo Wewe Samatta kwa jinsi Watanzania walivyo na nongwa hadi kisununu na wakisahau Kushukuru nami pia ningeongopa (ningejivunja) kama Wewe kwa kusema kuwa 'ninaumwa' ili nikae pembeni na niwaachie Wachezaji wengine wa Taifa Stars waliobaki 'wapambane' Mechi...
  20. Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

    Mchango wa Mbwana kwenye timu ya Taifa lazima uvae miwani ili kuuona, Nini kinamfanya awe ndiye captain wake siku zote na Mara zote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…