Kwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote kwa timu hiyo.
Watkins ambaye amefunga mabao matatu katika kipigo cha mbwakoko alichokipata Liverpool...
Mtanzania aliekuwa anachezea Aston villa (AVC) ya England sasa amesajiliwa na timu ya Fenerbahce ya Uturuki.
======
Mshambuliaji wa kitanzania aliyekuwa anakipiga ligi kuu ya Uingereza, Mbwana Sammata sasa ni rasmi Fernabache ya Uturuki akitoka Aston Villa. Kabla Samatta alicheza vilabu vya...
Habari za humu!!
Kipindi cha siku mbili zilizopita nimeona matangazo na baadhi ya video za youtube zikielezea kuhusu hii app ya SamaPay ambayo imeanzishwa na mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Ali Samatta.
Kwanza ningependa kutoa hongera kwa uamuzi wake huo wa kufikiria na kufanya kitu...
Napendekeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimtunuku Mbwana Samatta shahada ya udaktari ya heshima (Honoris Causa) kutokana na mchango wake
mkubwa katika tasnia ya mchezo wa soka. Mchango wake unatokana na mambo yafuatayo:-
1. Amekuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya daraja la kwanza ya...
Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili:
1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.