mchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  2. Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  3. LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
  4. Unamkumbuka yule binti uliyesoma naye msingi uliyekuwa unamuona mshamba?

    Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
  5. Je, huu ni mchezo mchafu?

    Kuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo. Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda mfupi anapokea tena jumbe kuwa account yake imetolewa fedha kiasi kadhaa sawia na ile pesa iliyoingia...
  6. C

    KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

    Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
  7. Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  8. Tetesi: JE? siasa ni mchezo mchafu

    Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
  9. Ukiona mwanaume amekuwa shoga jua ni pepo mchafu yuko ndani yake. Hakuna cha homoni wala nini

    Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume. Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
  10. Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  11. Uwanja wa Taifa ni mchafu sana

    Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme. Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
  12. Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  13. R

    Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

    Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani? Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
  14. P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    🚨 Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au...
  15. Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  16. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  17. Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

    Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA. ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu. Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
  18. Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  19. Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

    Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia usafi, kuomba kuingiziwa nyimbo au muvi, n.k. (mbinu kibao) sambamba na kuwafunza mitego ya kuwazuzua...
  20. Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…