mchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Hawa Mchafu aongoza mafunzo ya biashara kidigitali kupitia LHRC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Mkenge; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga na...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Hawa Mchafu kuwainua vijana kiuchumi, UWT-Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo wanaoishi Kata ya Mtongani, Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Vijana wa Kata ya Mtongani Wilaya...
  3. N

    Aibu: Uwanja Singida ni mchafu

    Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
  4. K

    Mchezo mchafu kwenye zoezi la sensa

    Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo. Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji...
  5. R

    Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  6. sky soldier

    Hivi Mwanaume ambaye hana muda na usafi / utanashati ana haki ya kutongoza Wanawake?

    Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake. Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ? Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo Kuoga kwake ni shida na maji...
  7. J

    FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

    Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
  8. chinchilla coat

    Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?) Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
  9. Suzy Elias

    Kigwangala anyamaze, ni mchafu wa kutupwa

    Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine? Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa kuhurumiwa tu lakini tofauti na hapo ni mtu aliyepaswa awe gerezani kwa makosa ya ufujaji wa pesa za umma...
  10. Myfancyface

    Mkoa wa Dar es Salaam ni mchafu; Amos Makalla fanya ziara kujionea

    Salaam Mkuu wa mkoa, Nikiwa mkazi wa Dar es Salaam hasa Ilala Jiji, nimeshuhudia kuendelea kuchafuka kwa jiji hili. Ulipoteuliwa nilipata matumaini ya mabadiliko hata kidogo. Hali ni mbaya; mitaro imeziba na karatasi zimesambaa sehemu nyingi. Jiji la Ilala na vitongoji vyake vinaongoza kwa...
Back
Top Bottom