Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa.
Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa.
1...
Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga.
Hakuna mtu ajuaye kila kitu.
Sasa basi, leo ngoja niulize.
Katika Tanzania yetu hii...
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam.
Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
Nimekuwa anafuatilia baadhi ya hotuba za Hayati Baba wa Taifa hili Mwl. Julius Nyerere
Moja ya hotuba yake ni ile aliyoizungumzia Katiba liliyopo kuwa ni Katiba ambayo ikimpata Rais atakayeitumia vibaya basi atakuwa Dikteta kwa wananchi anaowaongoza.
Nampongeza sana Rais Mstaafu Jakaya Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.