mchakato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Mchakato wa chanjo umekamilika, itatolewa bure

    SERIKALI imetangaza kuwa tayari mchakato wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa COVID-19 (Corona) umekamilika huku ikisisitiza tahadhari zaidi ziendelee kuchukuliwa na wananchi. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 4,2021 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
  2. DustBin

    Aliyeanzisha na kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM) ndiye atakaesimamia kukamilika kwake

    Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...! Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia kusimika kwake au kukamilika kwake. Ijapokua uhusika wake sio wa moja kwa moja. Mungu ni mwema, ukifanya...
  3. P

    Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  4. Cannabis

    Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  5. Komeo Lachuma

    Ni nani aliyeharibu Mchakato wa Katiba Mpya? Tuanzie hapo

    Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba? Mnataka mchakato uendelee kuanzia wapi? Kama kuna aliyeharibu mchakato achukuliwe hatua gani? Vipi Raisi aliyeko...
  6. M

    Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  7. Relief Mirzska

    Rais Samia, tafadhali usianzishe mchakato wa Katiba mpya mpaka ujiridhishe usimamizi wa mchakato huu

    Wakuu, Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya. Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi. Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
  8. B

    Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo

    Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu. Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  10. B

    Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  11. Erythrocyte

    CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  12. B

    Majaji wanapatikana kwa mchakato gani Tanzania?

    Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji. Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
  13. The Sheriff

    Urusi: Rais Putin arahisisha utaratibu wa raia wa kigeni kupata hati ya kusafiria

    Rais Putin amesaini sheria iliyosubiriwa kwa muda mrefu kurekebisha mchakato wa wageni kupata uraia wa Urusi. Nchi hiyo kubwa zaidi (kijiografia) duniani inatarajia kuvutia hadi wahamiaji milioni 10 ifikapo 2025. Kulingana na sheria mpya, sasa ni rahisi zaidi kwa raia wa baadhi ya nchi kuwa...
  14. D

    Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Habari wataalam, Nataka nijenge nyumba ndogo kwa mjengo wa stail ya ghorofa moja yaani floor moja kwa juu, kutokana taratibu za nchi na vibali vya ujenzi. Naomba kwa anaejua hatua za kufanya ili kupata vibali na gharama za kupata hivo vibali, sitaki kujenga kienyeji nataka kufuata utaratibu...
  15. Mchaga

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: === === === ===
Back
Top Bottom