Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana.
Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery.
Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea?
Maana sasa hivi anatangaza kipindi kimoja na Dina Marios!
Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF.
Unaonaje uwezo wa Kaseja?
"Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake'...
Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake.
Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
Mtangazaji Maulid Kitenge
Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?
Mchambuzi Jemedari Said
Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri.
Mtangazaji Maulid Kitenge...
Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao.
Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!!
Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
kwa kweli nchii hii ina safari ndefu embu jionee maarifa na uwezo "mkubwa" wa wachambuzi wa kibongo a.k.a ma genius, huyu bwashee kajiandikia ka tweet chake halafu kafuta.
Habari,
Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa ya kutumika kwenye manunuzi ya baadhi ya bidhaa vya kampuni la magari ya umeme, Tesla.
Mchambuzi...
Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream
Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini...
'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho
Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo.
Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits
Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
Kuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu.
Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA.
Huyu kijana sijui ana shida gani, ni mjuaji hakuna mfano. Bwana Geof lea anaamini kuwa ukosoaji kila...
Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki.
Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio.
----
Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.