mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dagaa wasio na mchanga kutoka ziwa victoria(dagaa wa nyasi)

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  2. Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Habari wana JamiiForums, Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami). Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria? Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
  3. G

    Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  4. F

    Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

    Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
  5. Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  6. S

    Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  7. Iran, Hisbollah na HAMAS wameputa mchanga waachwe wapigwe tuu

    kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana . leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi sisi tuwaache tukae mzunguko na kushangilia. kula! kula! kula eeeh ! maana El Jazeera hawakawii...
  8. Poda nzuri Kwa mtoto mchanga

    Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua vitoka majimaji Na vinakauka Msaada wa dawa dafadhali
  9. SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  10. Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
  11. Mchanga na Kokoto..

    Wadau naomba kujua gharama ya kuniletea Mchanga wa Kibahaa Lori 1 na Kokoto toka Lugoba.. Nipo maeneo ya Kibamba.. Hapa kwenye kokoto sijaamua bado kama ninunue Kokoto za kwenye Semi au Mende. Kama kuna mdau wa biashara hizi naomba aje na bei zake.. Natanguliza shukrani..
  12. L

    Ninaweza kutumia magari mangapi yanayobeba mchanga kujaza

    Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level
  13. Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  14. Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  15. SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  16. Dar nzima inabidi tununue mchanga wa jangwani?

    tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji. Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu tunasubiria Daraja lijengwe.
  17. Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  18. A

    KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  19. A

    KERO Uchimbaji Mchanga unavyoharibu barabara ya Goba - Mpakani kwenda Madale (Dar)

    Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika. UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE. Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale kabla hujakutana na barabara ya mbopo, Kuna mto una tenganisha haya maeneo. Changamoto ni kwamba...
  20. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…