mchanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mama D

    Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  2. Red Giant

    Ukistaajabu samaki mchanga, hujamuona samaki wa jangwani

    "Njoo unisaidie kazi fulani, la sivyo hatutakula jioni hii." Nilimfuata. Aliingia ndani ya kibanda chake akatoka na ndoo yenye maji. Aliingia nayo mwenye zizi la mijusi akayamwaga hayo maji juu ya jiwe moja pana lililokuwa limebonyea kidogo katikati. Mijusi walikimbia haraka kunywa maji. Wakati...
  3. Red Giant

    Mchanga Dar na miji mingine ya pwani umetoka wapi?

    Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
  4. M

    Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

    Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku! Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi. Shukrani, nawasilisha.
  5. Erythrocyte

    Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

    Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo. Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini...
  6. Sky Eclat

    Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  7. Mshana Jr

    Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
Back
Top Bottom