Wakuu Kwema?
Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100.
Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne.
Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili.
Namungo FC imechangia Alama...
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania,
Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.