mchanganyiko

  1. Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  2. Umuhimu wa Kilimo cha mchanganyiko

    🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏 Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo. 📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO 1. Mapato Mseto...
  3. Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  4. R

    Nauza crate 10 tupu za bia mchanganyiko TBL na Serengeti

    Anaye hitaji niko Tabata Kisukuru kwa Swai. Bei sh 9,000 @ crate mawasiliano 0718219523
  5. R

    KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
  6. Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  7. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  8. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  9. Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  10. Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  11. Lugha mchanganyiko

    Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌 Leo tunaanza na salamu za asubuhi English--Goodmorning Spanish--buen día Chinese--早上好(zaoshang hao) Italiano--Buongiorno Japanese--おはよう(ohayo)...
  12. Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  13. Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
  14. Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  15. Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  16. Tanzania ina maeneo 50 yanayoweza kuzalisha 5000MW za umeme wa joto ardhi (geothermal)

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi. Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
  17. M

    Mchanganyiko wa Pepsi na karanga

    Eti wadau nimeikuta mahali ivi ni kweli ukichanganya pepsi na karanga zilizokaangwa inaongeza nguvu za kiume?
  18. Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
  19. Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  20. Miaka milioni ijayo kutakuwa na kabila na tutakuwa na mchanganyiko nchi zote

    Suala la leo na tafakari baada kusoma maswala ya viumbe vilivyo potea miaka milioni na bilioni iliyopita kama wataalamu kutuambia. Sisi wanadamu umri wa kuishi muda mrefu ni ngumu na dunia ya sasa ya miaka 2021 kama magonjwa yenye nguvu, ajali, teknolojia, mabadiliko ya hewa na n.k Katika vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…