mchanganyiko

  1. E

    SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  2. Bushmamy

    Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
  3. Premise

    Msaada: Ninatoa shahawa zenye mchanganyiko wa damu

    Habari za muda huu wana familia wa jamii forum... Naomba kufahamu tatizo hili kama linatibika maana nimeona hizi habari hapa Nadhani mimi si wa kwanza kupatwa na tatizo hili. Naomba kufahamu kutoa shahawa zenye damu inasababishwa na nini? Wale mliopitia hali hii mlitumia dawa gani au...
  4. Abdalah Abdulrahman

    Mawazo mchanganyiko juu ya kuongeza ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  5. Sky Eclat

    Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  6. 2019

    Huu mchanganyiko wa kuboost kinga dhidi ya UVIKO-19 kuna una kazi nyingine kwa wenye ndoa

    Juzi koo lilikereketa sana, kama kawaida kuchukua tahadhari nikasema wacha nikachanganye mavitu nijidunge pema. Nikaoda kwa mke gengeni alete 1. Malimao 2. Tangawizi 3. Kitunguu saumu 4. Pilipili mbuzi Nikaviandaa nikablend vyote, nikachukua maji ya moto nikatia chumvi kidogo nikazimua ule...
  7. Abdalah Abdulrahman

    Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  8. FrankLutazamba

    Kufikia mwaka 2400, kutakuwa hakuna wazungu na waafrika, bali rangi zingine mchanganyiko

    Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama mwafrika au kinyume chake. Sasa hivi ukienda Marekani si ajabu kukuta watoto mixer na imekuwa ndoto...
  9. Nyaka-One

    Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  10. Sky Eclat

    Soup ya mchanganyiko wa nyama ya ng’ombe, figo na maini

    Mahitaji Nyama ya ng’ombe 1/2 kilo Maini 1/2 kilo Figo 1/2 kilo Vitunguu viwili vikubwa Pilipili hoho tatu Pilipili kali unazoweza kula Limao Chumvi Uduvi kikombe cha chai Jinsi ya kupika Osha nyama kata kata weka pembeni figo osha kata kata weka pembeni na maini hivyo hivyo Weka sufuria...
  11. B

    Hii Juice ya ukwaju ni ukwaju kweli au ni mchanganyiko

    Hi wanabodi Napenda kujua hii juice ya ukwaju ni ukwaji kweli au tunakunywa mchanganyiko tu. Na hii maziwa ya asas nayo siku nimeyanywa siku ya pili niliyaacha wazi nikakuta yameharibika inakuwa ni maziwa au dawa ndo zimejaa huko...maana maziwa ya mtaani aisee yanamaji balaa
Back
Top Bottom