Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...