Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu.
Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira, hatujalipwa fedha za kujikimu na tunazungushwa sana, fedha zikiingia Halmashauri wanazipangia vipaumbele vyao...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo.
Agizo hilo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi...
Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema hajashangaa kuona Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati Singida Dkt. Cyprian Hilinti kumuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aridhie kuwa Mama wa Taifa la Tanzania ambapo Mchengerwa amesema Rais Samia ameingia kwenye fikra na maono ya Baba wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.
Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha.
Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini...
Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu sumbawanga Manispaa na wengine. Akiwamo Engineer na Afisa Manunuzi kwa matumizi mabaya ya pesa za miradi.
=====
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuwasimamisha kazi aliyekuwa Mganga Mkuu wa Manispaa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Haya madini ntayokupa hapa hutapata popote maana weye natambua una "potential" kubwa huko mbele ya safari.
Kama kawaida yangu jana baada ya kusikiliza ulokisema nikaingia kwenye dawati langu la uchambuzi hapa Kibaigwa na nikachambua ulokisema jana ili kupata mawili...
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol ...
G.O.A.T
Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake!
Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa,
"Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.
Mheshimiwa Mchengerwa...
Kama ulikuwa unasikia tu basi leo Rais Samia Suluhu Hassan amethibitisha uhusiano wake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mohamed Mchengerwa.
Mara kadhaa imekuwa ikizungumzwa kuwa wawili hao ni mtu na mkwewe lakini hakuna kati yao aliyewahi kuzungumzia hilo.
Akiwa safarini leo Septemba...
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025.
Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia...
Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni.
Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati.
Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE.
Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.