Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja.
Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400.
Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake.
Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.