mchezaji wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu yule mchezaji wa Simba mwenye asili ya Afrika Kusini. Nawaza tu

    Wabongo wanamua na wao kutuma ujumbe kwa waSouth Africa
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  3. This is...

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

    Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja. Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

    Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400. Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake. Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki...
Back
Top Bottom