Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.

Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.

1752585657351.png
 
Anawajambisha tu hapo wakala wake ameshawapa mpunga waandishi wavumishe anaenda Yanga.Huyu wakifanya kama wanampotezea anasaini.
 
Wakuu!

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.

Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.

Hata mkeo akikuona hauna malengo anakuacha aise.
 
Wakuu!

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.

Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.

Janja janja za mchezaji na management yake ili apandishiwe dau🤣🙌
 
Wakuu!

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC.

Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi, na kwa sasa Zimbwe Jr ni mchezaji huru, huku bado hajatia saini mkataba mpya na klabu yoyote.

Pandisha Pressure tu hiyo.
Huyu kutoka Simba tuamue sie
 
Oh okay sw ndio mkataba wake unasema ivyo kua akitoa utambulisho wake TU atakaua sio mchezaji w SIMBA?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hana jipya, umri umeenda. Ni bora tupate fullback mwingine. Maana gemu zote 5 mfululizo tulizofungwa na Yanga naye alikuwapo kama captain na beki 3. Aende tu anakotaka
 
Back
Top Bottom