Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

Watanzamia wengi ni mazwazwa aise.Sasa mtu yupo anajitafutia pesa nyie mnaleta ujuaji muacheni akatafute pesa .
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
JamiiForums-751034406.jpeg
 
Sioni tatizo kwenye hilo. Mpira ni kazi ya muda mfupi sana kwani kuna umri akifika hataweza kucheza tena hivyo kama kuna timu inatoa pesa nyingi aende tu. Kama ni lawama ziende kwa viongozi wa Simba kwani walitakiwa muda mrefu wamuandae mbadala wake lakini wameshindwa. Na mbaya zaidi Nouma kaondoka kwa hiyo shida nyingine tena hiyo pasua kichwa kwa Simba.
 
Back
Top Bottom