Mashabiki wa soka Afrika Mashariki wanaweza kushuhudia pambano kubwa la kimataifa kati ya vigogo wa soka kutoka Tanzania na Kenya, baada ya Simba SC kuripotiwa kupangwa kukutana na Gor Mahia FC katika michuano maalumu ya Raila Odinga Super Cup.
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa, mchezo huo...