mchezo wa ngumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwakinyo; nikiacha ngumi, mchezo wa ngumi utakufa kabisa Tanzania

    Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi...
  2. JamiiForums Tanzania Simba anapokutana na Kiboko kwenye mto (AJ vs Jake Paul)

    Ndondi ni mchezo mzuri sana kama hakuna ndugu yako ulingoni ila kama kuna ndugu yako basi si burudani ya mzaha; ni mchezo unaobeba hatari inayoweza kubadilisha historia ya maisha ya mtu kwa sekunde chache. Uliza familia ya Marehemu Hiromasa au familia ya Segun Olanrewaju ambao walikata moto...
  3. JamiiForums Tanzania Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  4. JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili, Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  6. JamiiForums Tanzania Bondia Hassan alilipwa elfu 60 tu kwenye pambano lililoondoa uhai wake

    Bondia Hassan Mgaya aliyepoteza maisha tarehe 29 December, 2024 baada ya kupigwa TKO. Baada ya kupigwa TKO alilipwa Tsh 60,000 kama malipo ya PAMBANO hilo Kiasi hicho kilitajwa na Shehe ambaye alikuwa akitaka vitu vilivyokuwa halali ya marehemu, na kutaja Tsh 60,000 kama malipo ya bondia huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Naona sasa mchezo wa ndondi nao wameingia kwenye mfumo waja na ''Knock out ya mama''

    Wakuu ! Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali. Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata...
  8. JamiiForums Tanzania Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam. Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…