Kumekuwepo Picha inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Afrika Kusini akichoma mahindi imezua mjadala mkubwa miongoni mwa watumiaji wa mitandao hiyo.
Katika machapisho mbalimbali yanayosambazwa mtandaoni, inadaiwa kuwa raia huyo wa Afrika Kusini amechukua kazi...