Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi
Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema husababisha kupotea kwa credibility ya chama na kurudisha nyuma harakati za chama.
Mimi ni kada wa...
Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 natafuta ajira yoyote ya kujikimu kwa muda huu pia nina ufanisi wa biashara ya mauzo pia nina leseni ya udereva ila kwa sasa natafuta ajira yoyote ile ili nijikimu kimaisha kama kuna mchongo wowote au kibarua chochote me niko tayari kufanya....
Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment Charity) huku wakimwaga sifa kwamba mabwana hawa (FIC) wanalipa na ni mchongo legit kwa sasa.
Kutokana na...
Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana.
Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni wabongo, mnachezewa akili. Tafuteni pesa, epuken kushobokea watu msiowajua
Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka
Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.
Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri watangazaji wamekuwa.
wakisisitiza wasikilizaji wait wacheze pesa na watashinda lakini kinacho...
Swali.
Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda?
My Take
Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda.
Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
Habari za majukumu wakuu, mimi ni kijana wa miaka 29. Nina shida moja ambayo nahisi imekuwa kama "addiction."
Nimejipata nikiwa na tabia ya kufuatilia (track) simu za kila mpenzi ninayeingia naye kwenye mahusiano, iwe nina mipango ya baadaye naye au hata kama ni uhusiano wa muda mfupi. Ilimradi...
"Mchongo".
Rushwa/Takwima/Chai/Zawadi/Asante.
Ukifika Swekeni unaambiwa kuna MCHONGO,tafuta wanaoeleweka,leta majina yao wapate mchongo.
Wanaoeleweka ni wale wanaotoa chochote kitu kwa mwenye mchongo.
Athari za MCHONGO.
Tumekuwa na watendaji wabovu,wasiojiamini,walamba viatu na wenye...
Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!
Baada ya kumuoa mke wangu, alinishawishi niachane na kazi ili nisaidie kusimamia biashara zake. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni moja ya simu na kipato changu kwa mwezi, mshahara na marupurupu, kilikuwa kama...
Wakuu habar za mchana.
Kuna kipindi niliwahi kusikia watu wanatumia mtandao wa Desi(Kama nimekosea nirekebishwe) huu mtandao sijui ulikuwa una operate vp lakini nilisikia ilikuwa ni uwekezaji ambao ulikuwa unarudisha faida. Watu walipiga sana pesa lakini baadae ukaja kusababisha vilio, mtandao...
Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa.
Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia.
Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi.
Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki.
Ni rasmi sasa DV-2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.