mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. alcacer

    Nina gari aina ya Noah sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe

    Habari za muda huu. Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private, kama kuchukua watoto wa shule NK. ASANTENI..
  2. Planeti

    Mchongo wa kuvuta Shisha unastimu gani wakuu

    Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi.. Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa.. Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
  3. K

    Mchongo wa kunufaika na Shilingi Trilioni 1.3 za IMF

    Great thinkers mambo vipi. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye kiini. Mheshimiwa Rais amesema Kuna fedha shiling Tilioni Moja na bilioni mia tatu zinakwenda kuchemsha Nchi. Sasa jameni hebu tupeana uzoefu na michongo ya namna ya kunufaika nazo kihalali kabisa. Yaani kama ni ajira tenda au...
  4. OMOYOGWANE

    Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  5. Narcissist_saint

    Kijana wa Kitanzania na mchongo wake Bungeni

    “Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na bunge lenye...
  6. demigod

    Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  7. L

    Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  8. Kasomi

    Michongo Live

    Wakuu nisiwe mchoyo wa michongo mjini na vijijini. Leo nimewafungulia Uzi huu wa Michongo Live uzi huu nitatoa michongo mjini na vijijini ili wadau wapate kufaidika. Mchongo wa Leo Je, pengine umesoma mambo ya biashara au stationery, au pengine una uzoefu na mambo hayo? Basi fanya hivi. Fungua...
Back
Top Bottom