mchumba hasomeshwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mchumba hasomeshwi? Simulizi ya kutisha na kuumiza

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni...
  2. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu bado tunaendelea kukumbushana kuwa mchumba hasomeshwi

    Habari za muda huu, Kama ilivyo ada na kawaida kwa sisi wanaume, tunapaswa kuendelea kukumbushana mambo ya msingi kwa ajili ya kutunza afya zetu za akili na uchumi, ili walau tuishi maisha marefu ingawa yamejaa taabu na mafupi. Ingawa inaonekana kuwa kuna baadhi yetu wanajisahau sana na wengine...
Back
Top Bottom