mchumba wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

    Habari yenu ndugu zangu. Niende kwenye mada. Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa. Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku). Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi...
  2. R

    Mama kanikimbizia mchumba wangu

    Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu! Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa...
  3. holy holm

    Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

    Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani. Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja. Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Niliposikia mchumba wangu niliyempenda sana kaolewa, nguvu ziliniisha

    Kwenye ujana una mambo yake. Nahisi sio Kwa wanaume pekee la hasha yamkini hata wanawake Huwa Kuta hili. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja Hivi wakitusi. Huyu dada nilikuwa namzidi miaka5-6 Hivi. Kipindi hicho nikiwa nimeamimiwa na boss mmoja kuwa agent wa sigara na vocha. Na nilkuwa...
  5. trojan92

    Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

    Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu. Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka...
  6. T

    Nakupenda Sana mpenzi wangu kokubanza Unanifanya nahisi Hii dunia ni yangu peke yangu mpenzi wangu kokubanza

    Kwa hapa au Hii stage niliyofikia sisikiii la mtu Wowote maana mpenzi anayonipaa mpenzi wangu kokubanza wa nyaishozi ni raha ndugu Zangu wa jamii forum vp na wewe mdau umewahi kupendwa na binti wa kihaya? Asikuambie mtu hawa Wanawake wa kihaya wanajua kupenda Sana aisee sio Kama hao mademu wenu...
  7. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  8. S

    Natafuta mwanamke awe mchumba wangu

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  9. S

    Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo. Makazi: Dar. Sifa za mchumba. Umri: 30 +. Elimu: kuanzia sekondari. Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa...
  10. DeMostAdmired

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu...
  11. Yisen

    Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  12. Moronight walker

    WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

    Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother. Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae. Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake. Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake. Na yeye pia ana Dada na kaka. Ushauri naamni jf wapo wazoefu...
  13. Bundakwetu

    Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

    Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa kila namna nionane nae na nimwambie yaliyo moyoni. Kumbe bila kujua Maongezi yale mchumba wangu...
  14. Chizi Maarifa

    Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
  15. Chizi Maarifa

    Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
  16. S

    Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

    Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu. Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa...
  17. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu...
  18. Komeo Lachuma

    Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

    Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata. Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana...
  19. Jolvin J Lug

    Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  20. D

    Mchumba wangu hataki hata kumgusa

    Habari za mchana wana Jf, Iko hivi..nimekuwa kwenye mahusiano na mdada flani hivi huu mwaka wa pili sasa ila sasa pale napotaka kumkumbatia ananiwekea kizuizi hataki hata nimguse nikimuuliza kwanini anajibu ana mashetani kichwani yanamsumbua Sasa mimi baada ya kuona vituko vyake vinazidi...
Back
Top Bottom