Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.
Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.
Sometime naweza msemesha...
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.
Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1. Huyu kweli anaweza kuniroga?
2. Hili...
Poleni na majumukumu.
Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Binti huyu ni yeye ndiye aliyenitafuta na kuonesha kuvutiwa na mimi. Hakuwa mrembo, ila alionekana ni mwenye imani ya dini...
Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.
In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza...
Habari wakuu.
Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au mpenzi wako.
Kutokana na changamoto ya kuwa mbali na mchumba wangu wa muda mrefu sababu ya kuwa mikoa...
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu
Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,
Bibi Harusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.