Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo zilitupelekea kuachana.
Baada ya kuachana, mchumba wangu alielezea haja ya kuishi kwangu kwa muda...