mchumba

"Bwatue" is a song by Phil Ochs, a U.S. singer-songwriter best known for the protest songs he wrote in the 1960s. He co-wrote the song with two African musicians named Dijiba and Bukasa. "Bwatue" was written and recorded in 1973."Bwatue" was written while Ochs was visiting Kenya. Its lyrics are in Lingala. The title means "canoe"; the lyrics develop the river as a metaphor for life. "Bwatue" was released as a single in Africa by A&M Records. The B-side of the single, "Niko Mchumba Ngombe", also by Ochs, Dijiba, and Bukasa, was written in Swahili. Both songs were recorded by Ochs with the Pan-African Ngembo Rumba Band. The record was a commercial failure."Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" have been described as early examples of blending Western popular music with world music, and critics note that they predate Paul Simon's Graceland by more than ten years. Still, one critic says the record "should be seen more as a curiosity rather than a serious attempt at exploring a new style". One of Ochs' biographers cynically suggests that Ochs recorded the songs in order to deduct the cost of his trip to Africa from his income tax as a business expense.In the early 1990s, the single was reissued in a limited edition of 1000 by Sparkle Records, ostensibly on behalf of the Phil Ochs Fan Club of Canada. The reissue was unauthorized and is considered a bootleg.The only known review of the single was positive. Reviewing the bootleg release in Dirty Linen, Cliff Furnald wrote that "the band gives a superb look at the Zaire/Kenyan dance style at the time before mass marketing started the diluting downward trend".Because of the single's limited release, "Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" were extremely rare. Most Ochs fans never heard the songs before they were included in 1997's American Troubadour. "Niko Mchumba Ngombe" was also included in the 2004 collection Cross My Heart: An Introduction to Phil Ochs.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

    Natafuta mchumba kike awe tajiri. Sifa zangu; 1. Mimi ni black kidogo. 2. Elimu yangu certificate ya Tehama. 3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania. Sifa zake huyo msichana; 1. Awe tajiri Boss lady. 2. Umri...
  2. Natafuta mchumba (mke)

    Mimi bado nikijana, nina miaka 25 elimu yangu ni darasa la saba ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi miaka 18/24, Awe na hofu ya mungu dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa) kuhusu elimu (yoyote) asiwe single mother...
  3. J

    Nahitaji mchumba wa kike anayejiamini

    Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35. Nipo Dar, nimejiajiri. Kiongozi na mtawala. Cuddling expert. Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k. Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana. Furaha yangu...
  4. Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake. Sifa zake; Mweusi Urefu Size ya kati. Ana elimu ya degree. Ana kampuni yake. Ana maisha...
  5. R

    Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

    Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi. Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa. Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto. Karibuni
  6. Sala ya kuomba mchumba mwema

    Kwa wale mnatafuta wachumba wema Nimewarahisishia kazi.
  7. M

    Nautafuta mwenza (Ke)

    Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa. Nawasilisha.[emoji119]
  8. Januari 5, 2011, ni siku aliyekuwa mchumba wa Dtk. Slaa alipokipigania CHADEMA kwa maumivu makali

    Januari 5, 2011 Arusha, Tanzania. Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo aliyekuwa mchumba wa Dr Slaa. Hakika ilikuwa siku ya huzuni sana. Nakumbuka mimi nilikuwa nimetoka Burka...
  9. D

    Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25. Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
  10. Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

    Hello, Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani. Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo. Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata...
  11. Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  12. I

    Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

    Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa...
  13. SERIOUS: Mchumba (mwanamke) anahitajika

    Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku Rangi - Maji ya kunde Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi Sifa za ninaemuhitaji, awe ni mwanamke mweny sifa hizi; Umri angalau kuanzi miaka 25 kushuka chini Mweusi, akiwa maji ya kunde...
  14. Mchumba hahudumiwi vijana

    Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu...
  15. Nilisomesha Mchumba aje kuwa Mke, Wazazi wakanivuruga na Mchumba akadanganyika

    PART 1 Huyu dada ndiye ambaye ilikuwa nimuoe. Nlimpenda sana kwa kweli na ku risk kumsomesha. Baada ya kuwa alikuwa na ufaulu ambao ungeweza msaidia kuendelea na masomo. Hakuwa na wazazi. Na ndugu zake hawakuwa tayari kumsomesha. Nikamwambia aombe kusoma IFM. akaomba akapata nikamlipia ada na...
  16. Mchumba anasomeshwa

    Sasa imeshakuwa kama wimbo wa taifa kusikia hii kauli ya kwamba mchumba hasomeshwi. Jamani, mchumba anasomeshwa. Inategemea na mchumba mwenyewe. Mie nimesomesha, na sijakutana na changamoto yoyote hadi amemaliza chuo, na sasa ndio ni mke wangu and we are blessed with two beautiful children and...
  17. E

    Natafuta Mchumba/Mke

    Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha. Muonekano wangu. Urefu- Mrefu Kiasi cm 173 Rangi- Mweusi. -Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida) Elimu yangu- degree 2 Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali) Sifa za ninae Mtafuta. Rangi- Yoyote. Miaka - Kuanzia 25...
  18. Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
  19. Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba

    Unjani sabuwona Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A. Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but...
  20. S

    Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

    Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu. Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…