mchungaji godfrey malisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Moshi: Mahakama yatoa ahirisho la mwisho kesi ya makosa ya mtandao ya Mchungaji Malisa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo akisubiri msaada wa kisheria kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao

    Dkt. Godfrey Malisa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo zote zimepangwa kutajwa tena Januari 16, 2026 baada ya kuahirishwa jana, Januari 2, 2026; - Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025, ambapo anadaiwa kuhamasisha umma kushiriki katika mikusanyiko isiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…