mchungaji mashimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Mashimo: Watanzania Tuitunze amani ya nchi yetu kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu Chanzo: Kishamba Media
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili. Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Wilaya ya Ubungo mnaridhika na utapeli wa huyu mchungaji Mashimo?

    Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na kuacha jamii ikizidi kut Hata kama serikali haina dini lakini sio vema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mfuatilieni huyu Mchungaji Mashimo, anadaiwa kuwa Tapeli

    Hata kama serikali haina dini lakini sio vema KURUHUSU UHOLELA UNAOPITILIZA. Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…