Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu
Chanzo: Kishamba Media
Chanzo: Kishamba Media