MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI ZA HANANJA DHIDI YA ASKOFU GWAJIMA
Katika historia ya mataifa mengi, viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele katika kukemea maovu ya kijamii, kisiasa na kiutawala. Martin Luther King Jr. alipaza sauti dhidi ya ubaguzi wa rangi Marekani; Desmond Tutu alisimama dhidi...
Mchungaji Richard Hananja ametoa wito kwa walimu, wazazi na walezi na jamii kuwalea watoto katika malezi ya kuwaeleza ukweli ambao unaweza kuwaepusha na vitendo mbalimbali ambavyo havifai katika jamii.
Anadai kuwa watoto wa kiume wamekuwa wakiachwa nyuma hivyo amesisitiza umuhimu wa...