Nimeona video ya huyu dada ambaye anaonekana kuwa ni mchungaji akiwa anahubiri kanisani. Jambo lililonisikitisha ni kitendo cha kudharau taaluma ya ualimu hasa walimu wa kike wa shule za Msingi.
Kiongozi ni kioo cha jamii hivyo inatarajiwa kuwa maneno unayoyatoa yatakuwa ya kujenga na si...
Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa.
Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo la Abia ambapo haijajulikana watekaji lakini Polisi wanaendelea na msako wa kumtafuta.
Utekaji...
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU
Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia
Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR.
Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
Soma vizuri kabla hujachangia
Mchungaaji Godfrey Mtui anamiliki Kanisa la Tanzania Pentecoste mission Church lililopo nje kidogo ya mji wa Moshi na anamiliki Garage iitwayo WAG Garage ambayo ipo nyumbani kwake.
Mtui amefikishwa katika makahama ya mwanzo mjini Moshi na kusomewa shitaka moja la...
Anaposimulia maisha yake ya hapo awali utadhani ni hadithi ila ni hali halisi ya maisha yake ya kale ambaye kwa sasa anajulikana kama mchungaji Rebecah Ndinda.
Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90.
Alijipata katika hali hii...
Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar.
Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka...
Mchungaji mwingine kijana ni gumzo baada ya kuwaamuru waumini wake wa kiume kulamba vidole vyake baada ya kuvitumbukiza kwenye supu na ugali.
Washarika wa kiume wanaweza kuonekana kuwa wanyenyekevu sana na kulamba vidole vya mhubiri bila wasiwasi.
Ni video ambayo imeibu hisia tofauti...
Mchungaji Lucy Nyawira Thuo kutoka nchini Kenya, amewashangaza wengi kwa ukakamavu wake wa kuzungumzia hali yake ya HIV hadharani na hata makanisani.
Hii ni hali ambayo mama huyu anaiona kama sehemu ya wito wake wa maisha kwamba atoe nasaha na awe kielelezo cha kuishi na Virusi vya HIV kwa...
Kuna kipindi kinaendelea asubuhi hii 1:53 Radio One, watangazaji ni Authman Juma na Abdallah, mgeni ni Mchungaji (wa kike) mjumbe wa Kamati ya Amani, Maadili na Haki za Binadamu.
Mchungaji ameulizwa na watangazaji nini chanzo cha watu kurudi nyuma katika kumwabudu Mungu? Mchungaji ameitupia...
Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston
Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.
Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
Mwinjilisti maarufu wa Marekani Michael Todd azua tafrani na kuibua hisia za hasira miongoni mwa watu baada ya video yake akimpaka mate muumini kusambaa.
Katika ibada hiyo ya Jumapili Mchungaji huyo alipokuwa akiongoza ibada iliyokuwa mbashara alionekana akitema mate kisha kumpaka muumini wake...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
anafaa
azzan zungu
baada
bunge
bunge la jmt
dada
dada yangu
dkt. tulia
fomu
godwin kunambi
kugombea
kura
magufuli
maslahi
maslahi ya wananchi
mbunge
mchungaji
muungano
nabii
nafasi
ndugai
stephen masele
sugu
tamaa
tanzania
uspika wa bunge
wabunge
wananchi
wengi
yangu
Wakati niko Safarini tokea Dar kulelekea kijijini kwenye msiba wa babu yangu, njiani kwenye njia ya kutokea Chemba kupitia kijiji kinaitwa Mtungutu, Pembezoni mwa barabara nilikuta gari la polisi likiwa na askari kadhaa, na upande mwingine wa barabara nikaona wanakijiji wengi wamekusanyika kwa...
Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
KAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU
Mchungaji -
Hakuna anayejua:
Mchungaji anasikia nini,
Anachokiona,
Siri anazopaswa kuzihifadhi,
Majaribu anayokutana nayo,
machozi anayomwaga,
Huzuni anayovumilia,
Upweke anaousimamia,
Uchungu anaoupata;
Uongo anaoelekezwa na baadhi ya watu...
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.
Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.
Au mwekee wimbo huu ausikilize.
MIMI NIMEMUULIZA
Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?
Alisema akipata ubunge kawe...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Emmanuel Mlundilwa amesema kukosa uelewa wa kutosha juu ya matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARV’s), kulisababisha kuwakataza waumini wake kutumia dawa hizo na wakazidi kudhoofu na...
Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje?
Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu?
Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu?
Wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.