KAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU
Mchungaji -
Hakuna anayejua:
Mchungaji anasikia nini,
Anachokiona,
Siri anazopaswa kuzihifadhi,
Majaribu anayokutana nayo,
machozi anayomwaga,
Huzuni anayovumilia,
Upweke anaousimamia,
Uchungu anaoupata;
Uongo anaoelekezwa na baadhi ya watu...