Natumaini wazima.
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu.
Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda.
Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...