sureNi hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
Heche ataendelea kuongea kama kiongozi wa chama, sio kutegemea upepo wa Polepole boss.Tangu hilo katazo., Heche ameongea mara ngapi
Hizo ndio akili timamu, chadema haipaswi kuendesha mambo yake kwa kufuata upepo wa PolepoleHeche ataendelea kuongea kama kiongozi wa chama, sio kutegemea upepo wa Polepole boss.
Kuna instagram, youtube, twitter zote zina live. Wanaweza kurecord ujumbe na kuuweka kwenye youtube. Njia ni nyingi sema tu tumelalaKatazo la kutofanya siasa unalichukuluaje?Watumia jukwaa lipi?