mdee na wenzake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
  2. Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  3. CHADEMA inawahitaji akina Mdee kuliko akina Mdee kuihitaji CHADEMA. Warejesheni kuimarisha chama

    Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani. Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika...
  4. Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  5. Pre GE2025 BAWACHA wamtaka Spika wa Bunge kuwaondoa akina Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
  6. Haijaisha mpaka iishe: Halima Mdee na wenzake waiburuza CHADEMA Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu

    Wanawake wa shoka, Halima Mdee na wezake wametinga Mahakama ya Rufani kutetea ubunge wao. Tuna imani Mahakama ya Rufani itawapa ushindi wa kishindo.
  7. Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  8. Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha; 1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
  9. Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  10. Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  11. M

    Kuna ramli kuwa Mdee na wenzake 18 watasamehewa

    Habari ya kazi wana jukwaa. Kuna habari zinatembea sana mitandaoni kwamba kesho kwenye sherehe za siku ya wanawake duniani ambapo BAWACHA wataadhimisha siku hiyo mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi atakua mh.Rais Samia Suluhu Hasan. Watu wengi sana wanadai itakua nisiku rasmi pia kuwasamehe...
  12. Tetesi: CHADEMA kuandaa mkutano mkubwa wa hadhara kwa ajili ya kutangaza msamaha kwa Mdee na wenzake

    Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake. Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home). Itakumbukwa...
  13. T

    Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  14. Kibatala amhoji Nusrat Shabani Hanje kesi ya Wabunge 19 wa CHADEMA

    Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha. Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii! Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!! Karani wa mahakama: Kesi namba 36/2022 Halima James Mdee na...
  15. Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  16. R

    Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa kesi ya Halima Mdee na wenzake

    Take home msg ni hii: 1. Job Ndugai asilaumiwe 2. Tulia Ackson asilaumiwe 3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais. Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
  17. Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

    ✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa... ✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa)...
  18. Hatimaye Halima Mdee na Wenzake wafungua kesi ya Kupinga kuvuliwa uanachama Mahakama Kuu

    Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho. Mdee na wenzake wamefungua shauri hilo siku 13 baada ya kupata kibali cha mahakama hiyo. Mahakama hiyo imewaruhusu...
  19. Q

    Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    #HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx ========== Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi...
  20. S

    Mdee na wenzake, hawawezi amriwa na Mahakama warudishe mishahara na posho walizolipawa pasipo kustahili wakishindwa kesi?

    Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge walizolipwa pasipo kustahili?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…